Mpiga picha wa Diamond ajiuzulu WCB, ataja sababu

- Kifesi na Diamond walikuwa marafiki wakubwa sana licha ya mwanamuziki huyo kuwa bosi wake - Mpiga picha huyo alimlaumu Diamond kwa kuvunjika kwa ‘ndoa’ yake na Zari Mpiga picha binafsi wa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz na WCB kwa jumla Andrew Kisula almaarufu 'Kifesi' alitangaza kighafla kujiuzulu kazi yake baada ya kuifanya kazi hiyo kwa muda mrefu. Wakati akijiuzulu, Kifesi alisema alikuwa akibadilisha mazingira na wakati huohuo kumtupia tope mwanamuziki huyo. [Read More]

Nick Wolfhards biography: who is Finn Wolfhards brother?

Nick Wolfhard is a Canadian voice actor known for appearing in the short film Aftermath together with his brother Finn Wolfhard. He has also voiced animated television shows like The Last Kids on Earth and My Little Pony. Is Nick Wolfhard in Stranger Things? No, he is not a part of the TV show, but his brother is. Finn plays the character of Mike Wheeler. What else is known about Finn Wolfhard's brother? [Read More]

Other Below Deck Chief Stews Sound Off on Mediterranean Addition Natasha Webb

Where is Natasha from ‘Below Deck’ from? Learn more about Natasha Webb, chief stew on the seventh season of ‘Below Deck Mediterranean.’ Source: BravoAs Below Deck Mediterranean set sail for its seventh season, fans of the Bravo reality show met the new chief stewardess, Natasha Webb. Unfortunately, reviews among the Below Deck family have so far been mixed. In one episode, for example, Captain Sandy Yawn praised Natasha’s work with guests but criticized her for the “filth” that’s left downstairs on the yacht at night. [Read More]

Polisi Meru wanawasaka washukiwa 5 ambao walihepa kwenye seli ya polisi usiku

- Washukiwa hao walikuwa wamezuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Timau kabla ya kuchimba shimo kwenye ukuta wa stesheni hiyo na kutoroka - Polisi waliokuwa kwenye zamu walitambua kuwa wafungwa wametoweka baada ya mmoja wa washukiwa hao ambaye alisalia nyuma kuanza kugonga mlango kwa nguvu - Kufikia sasa hakuna aliyekamatwa huku polisi wakiendelea na msako wa kuwasaka washukiwa hao Polisi katika kaunti ya Meru wanawasaka washukiwa watano ambao walitoroka kwenye Kituo cha Polisi cha Timau kupitia kwa shimo ambalo walichimba kwenye ukuta wa seli ya polisi. [Read More]

Ruger previews new song off upcoming album

The bouncy single Dancehall tune had Ruger's smooth melody and delivery and it promises to be a catchy one. Ruger enjoyed a stellar 2022 with the release of the deluxe version of his sophomore EP 'Second Wave' which delivered hits like 'Girlfriend' and 'Dior' with which he retained the attention of listeners. ADVERTISEMENT In the 4th quarter, Ruger released 'Red Flag' and the chart-topping single 'Asiwaju' with which he enjoyed a strong close to the year. [Read More]