Mchungaji aeleza jinsi NGONO ilivyomponya, ashauri wanaume wengine (picha)
Mchungaji kutoka Ghana, Job Antwi, amewashauri wanaume waliooa kutumia uume wao vizuri kwa kufanya ngono na wake wao mara nyingi ili kuwa na ndoa yenye furaha.
Antwi ambaye ni maarufu Ghana alieleza kuwa kufanya ngono ni njia nzuri zaidi ya kuwa na ndoa yenye furaha.
Habari Nyingine: Kisa cha Pasta wa Kisumu aliyemdhulumua mtoto mdogo kimapenzi
Mchungaji huyo ambaye alihojiwa Jumatatu, Februari 6, alidai kuwa alipona kwa kushiriki ngono na mkewe alipokuwa mgonjwa.
[Read More]